Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

AMUN RA nahitaji mtu wa kuniongoza 2000usd kwa kuanzia zipo tayari lakini sijui nifanyeje help me my bro
Ushauri wote upo kwenye ule uzi wa Ontario. Mimi nilijaribu nikashindwa ndiyo maana nikagundua kuwa bila kujisomea kwanza ni kazi ngumu. Inabidi pia uwe up to date na current affairs duniani kote ikibidi hata umfollow Trump kwenye twitter yake[emoji23][emoji23][emoji23]. Nimeanza upya kabisa. Pengine QUIGLEY kama ana uzoefu aseme tumfuate PM...
 
b666dc56383d5cd3f3cbc1dafebc0252.jpg


wahengaaa
...wa Southern Sudan!
 
Back
Top Bottom