Na ujanja wetu wote, likimwondo limoja tu likubwa linaweza kutuharibia kabisa kasayari ketu haka na kuingilia mfumo wetu wa uzalishaji wa nishati na mfumo mzima wa kujipatia chakula. Maisha yetu hapa ni tete sana na kasayari kenyewe ni haka haka kamoja lakini tunavyokashambulia utafikiri tuna mahali pengine pa kukimbilia...
Muvi nzuri !!!