cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 29,011
- 79,226
Ushauri wote upo kwenye ule uzi wa Ontario. Mimi nilijaribu nikashindwa ndiyo maana nikagundua kuwa bila kujisomea kwanza ni kazi ngumu. Inabidi pia uwe up to date na current affairs duniani kote ikibidi hata umfollow Trump kwenye twitter yake[emoji23][emoji23][emoji23]. Nimeanza upya kabisa. Pengine QUIGLEY kama ana uzoefu aseme tumfuate PM...AMUN RA nahitaji mtu wa kuniongoza 2000usd kwa kuanzia zipo tayari lakini sijui nifanyeje help me my bro
[emoji23] [emoji23] ile dawa ya kumfanya mtu zezeta bado ipoWatu wote humu kwenye huu uzi nawaloga yaani nawageuza mabata mzinga wote
My country is totally blessed
...wa Southern Sudan!
wahengaaa
Kibiti kumewaka tayarwakuu kibiti
Ipo hii ndo inawateja mbaya na ikiisha naongeza faster[emoji23] [emoji23] ile dawa ya kumfanya mtu zezeta bado ipo
Oooooh the irony [emoji23][emoji23][emoji23]
MhayaHivi Max wa JF ni kabila gani?