Unaota au?hulali?Why isn’t there an International Men’s Day? [emoji57][emoji124][emoji124]
**VICHWA VYA HABARI KWENYE MAGAZETI YA LEO**Unaota au?hulali?
Ipo ya wababa,kwan wewe ni baba?
**VICHWA VYA HABARI KWENYE MAGAZETI YA LEO**
-"Ipo ya wababa,kwan wewe ni baba?"-Numbisa amchana andaeitini... Kiu
-Andaeitini uso kwa uso na Numbisa...Sani
-Umri wa Yegomasika ni kizungumkuti... Mwananchi
-Numbisa amvaa Yegomasika,ni kuhusiana na umri wake...Tanzania Daima
-Andaeitini agalagazwa na Numbisa... Ijumaa wikienda
Pale andaeitini wawili wakutanapo,ni mvutano wa kipande cha chenza na parachichi tu ili vipate nafasi ya kuinjoka[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Habari yako Yego[emoji137] [emoji137]
Niaje Numbisa[emoji137] [emoji137]
Amani iwe kwenu matineja[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Unaota au?hulali?
Ipo ya wababa,kwan wewe ni baba?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji137] [emoji137]Wewe Mzee Jongo una mambo! [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahaah humu hamna muhenga bana ntakusemea kwa mzee wa 53 yrs ohoooo**VICHWA VYA HABARI KWENYE MAGAZETI YA LEO**
-"Ipo ya wababa,kwan wewe ni baba?"-Numbisa amchana andaeitini... Kiu
-Andaeitini uso kwa uso na Numbisa...Sani
-Umri wa Yegomasika ni kizungumkuti... Mwananchi
-Numbisa amvaa Yegomasika,ni kuhusiana na umri wake...Tanzania Daima
-Andaeitini agalagazwa na Numbisa... Ijumaa wikienda
Pale andaeitini wawili wakutanapo,ni mvutano wa kipande cha chenza na parachichi tu ili vipate nafasi ya kuinjoka[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Habari yako Yego[emoji137] [emoji137]
Niaje Numbisa[emoji137] [emoji137]
Amani iwe kwenu matineja[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Ukiuchapa ukiamka utadai sikukuu wa mtoto wa kiume hahaahNilikuwa ndotoni, ngoja niendelee kuuchapa! [emoji1]
MmmmmhhhMtu anaposema my foot anamaanisha hivi
View attachment 707629
Brooo...!!!Jinsi ya kutoa hii signature yako