Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Anataka ya matineja....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unaota au?hulali?
Ipo ya wababa,kwan wewe ni baba?
Anataka ya matineja....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unaota au?hulali?
Ipo ya wababa,kwan wewe ni baba?
Kumbe na kipaji cha uandishi unacho! We aisee kiboko. Biashara ya maparachichi ikigoma unatua na kwa Shigongo na maisha yanaenda. Safi sana !!!**VICHWA VYA HABARI KWENYE MAGAZETI YA LEO**
-"Ipo ya wababa,kwan wewe ni baba?"-Numbisa amchana andaeitini... Kiu
-Andaeitini uso kwa uso na Numbisa...Sani
-Umri wa Yegomasika ni kizungumkuti... Mwananchi
-Numbisa amvaa Yegomasika,ni kuhusiana na umri wake...Tanzania Daima
-Andaeitini agalagazwa na Numbisa... Ijumaa wikienda
Pale andaeitini wawili wakutanapo,ni mvutano wa kipande cha chenza na parachichi tu ili vipate nafasi ya kuinjoka[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Habari yako Yego[emoji137] [emoji137]
Niaje Numbisa[emoji137] [emoji137]
Amani iwe kwenu matineja[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Mzee wa 53 yuko huko duniani namuona anagawa dozi balaa. Kila mtu ni empty set na kila kitu ni rubbish rubbish rubbish...Hahahahaah humu hamna muhenga bana ntakusemea kwa mzee wa 53 yrs ohoooo
Gazeti lingeisha mapema wapi carba ,wapi jakito
Ukijiamini raha sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Happy women day.View attachment 707631
Majibizano ya hao vijana yamenichekesha sana. Hata sijui Numbisa ametumia muda kiasi gani kufikiria jibu alilo litoa!Kumbe na kipaji cha uandishi unacho! We aisee kiboko. Biashara ya maparachichi ikigoma unatua na kwa Shigongo na maisha yanaenda. Safi sana !!!