Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kumbe na kipaji cha uandishi unacho! We aisee kiboko. Biashara ya maparachichi ikigoma unatua na kwa Shigongo na maisha yanaenda. Safi sana !!!
 
Hahahahaah humu hamna muhenga bana ntakusemea kwa mzee wa 53 yrs ohoooo

Gazeti lingeisha mapema wapi carba ,wapi jakito
Mzee wa 53 yuko huko duniani namuona anagawa dozi balaa. Kila mtu ni empty set na kila kitu ni rubbish rubbish rubbish...

Ila hivyo vichwa vya magazeti vimevutia sana kwa kweli. Mzee wetu ana kipaji cha Ushigongo !!!
 
Kumbe na kipaji cha uandishi unacho! We aisee kiboko. Biashara ya maparachichi ikigoma unatua na kwa Shigongo na maisha yanaenda. Safi sana !!!
Majibizano ya hao vijana yamenichekesha sana. Hata sijui Numbisa ametumia muda kiasi gani kufikiria jibu alilo litoa!
Uzi huu una raha zake,huja hata usipo tarajia.
Habari ya asubuhi kiongozi[emoji120] [emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…