Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mzee wa 53 yuko huko duniani namuona anagawa dozi balaa. Kila mtu ni empty set na kila kitu ni rubbish rubbish rubbish...

Ila hivyo vichwa vya magazeti vimevutia sana kwa kweli. Mzee wetu ana kipaji cha Ushigongo !!!
Hahahah ana shida sana kujiona yeye genius kila kitu anakosoa.

Aah bora andjul wetu hapa ana kipaji chake adimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…