Nilikuwa nataka kuomba picha angalau tatu tu za majoka kumbe tayari ushaweka. Safi sana !!!
Yule muhenga wa 53 yrs empty set rubbish rubbish rubbish sijui yuko wapi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Angeziona hizi nadhani angewaka balaa unless kama anaogopa muziki wa GT...BAK kwaresma hii hizi picha weken usiku jaman
Maya ana mamiguu kama yamechongwa...