Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kila siku tafuta kitu cha kujifunza wakati upo kwenye njia ya mafanikio yako hata kama haieleweki, tafuta jinsi ya kuvuka vizuizi vyote na mwisho wa siku utajikuta upo kwenye ngazi kubwa sana ya mafanikio kwako.