Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Waende Los Angeles wakaandamie huko. Ila hata huko ni lazima kupata kibali cha mamlaka zinazohusika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wabongo wakiwa kwenye kibodi mashujaa kweli kweli !!!
Kikiii...huku na huko....
Msema ukweli mpenzi wa Mungu. Mimi mwenyewe siko hivyo. Maclassmates wangu hawako hivyo. Wewe unaongelea wazee wa zamani sana. Mambo yamebadilika mno !!!Ya buyenze kwa kujitetea tu hujambo