Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Naomba unipe na mimi hiyo "profile yangu"Nakujua sana tu...
Nina profile yako hapa nzima. Page ya 12 sasa...[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
Mimi ni mzee wa liver sio kamanda kwenye ukweli tunasema ukweliWoyooo kamandaaaa
Nikikamilisha nitakupa. Ni psychological tool inayotumiwa mpaka na majasusi wa CIA kumuangalia mtu kwa undani wake. Ina vipengele 36. Kwako bado nipo kipengele cha 7 (Self actualization). Itanichukua pengine mwaka mzima hivi kuikamilisha - kama nitaendelea nayo...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️Naomba unipe na mimi hiyo "profile yangu"
Maana naweza gundua ambayo siyajui[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Trump pamoja na uchizi wake lakini anaweza maliza hili