Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

F76FC442-4EA9-4BDA-9FB7-F25D16253B3A.jpeg
 
MUHIMU: Nawaomba kwa upekee wake siku ya leo tusali kwa ajili ya Mabinti zetu Pacha walioungana Maria na Consolata ambao wako ICU Muhimbili wakipigania maisha Hali ya Consolata ni ngumu sana anapumua kwa oxigen na maumivu anayoyapata mwenzake Maria ambaye asubuhi mpaka asubuhi anamtazama usoni mwenzake anayeteseka na nina uhakika hofu kubwa ni kuwa je mwenzake akifariki, Usalama wake unabakiaje?
 
Mshambuliaji wa klabu ya Psg ya Ufaransa Mbrazil Neymar anajutia kuondoka katika klabu ya Barcelona na taarifa zinasema anataka kurejea klabuni hapo mwaka 2019 . (Mundo Deportivo - in Spanish)
 
Mshambuliaji wa Everton Sandro Ramires ambae anachezea klabu ya Sevilla kwa Mkopo amesema anataka kusalia Sevilla kwa mkataba wa kudumu, Sandro alipelekwa klabuni hapo kwa mkopo mwezi januari. (Liverpool Echo)
 
Kiungo wa Arsenal Jack Wilshere, 26 amesema hajakaribia kusaini mkataba mpya huku mkataba wake wa sasa unafikia mwisho ndani ya muda wa miezi mitatu ijayo. (Independent)
 
Brighton wameungana na Crystal Palace na West Ham katika mbio za kumuwania kiungo wa Lille ya Ufaransa Ibrahim Amadou, 24. (Le10 Sport, via Sun)
 
MUHIMU: Nawaomba kwa upekee wake siku ya leo tusali kwa ajili ya Mabinti zetu Pacha walioungana Maria na Consolata ambao wako ICU Muhimbili wakipigania maisha Hali ya Consolata ni ngumu sana anapumua kwa oxigen na maumivu anayoyapata mwenzake Maria ambaye asubuhi mpaka asubuhi anamtazama usoni mwenzake anayeteseka na nina uhakika hofu kubwa ni kuwa je mwenzake akifariki, Usalama wake unabakiaje?
Yuwiii Mola wangu ehh! Jamani!
 
Paris St-Germain Inataka kumarisha Safu yake ya ulinzi haswa upande wa kushoto kwa kutaka kuwasajili kinda wa Kingereza Ryan Sessegnon, mwenye miaka 17, Pamoja na Mbrazil Alex Sandro kutoka Juventus(Talksport)
 
Timu ya West Brom pia wanamfutilia mchezaji Okay Yokuslu, ambae ameichezea timu ya taifa ya Uturuki Mara tano (Milliyet - in Turkish)
 
West Ham inamuwinda kiungo wa Klabu ya Trabzonspor,Okay Yokuslu. Mwenye umri wa Miaka 23 kiungo huyu pia anawaniwa na Sevilla ya Hispania (AS - in Spanish)
 
Meneja wa timu ya taifa ya England Gareth Southgate yuko tayari kumpata mshambuliaji wa Tottenham, Harry Kane kitambaa cha unahodha wa timu ya taifa katika michuano ijayo ya Kombe la dunia(Star)
 
Back
Top Bottom