View attachment 710355 View attachment 710353
Asante kwa kuiona hiyo, trust me ni wachache sana wanao vutwa na vitu kama hivyo..,,, ndiyo maana ile movie ya Black Panther imekuja kwa wakati wake!
Vitu kama THIRD EYE ni hekima ambayo unashushiwa na unakuwa na vipaji. Matajiri wengi wanafuata hizo njia, na ni ngumu sana sana kuelezea maana inashuka automatically kama maths au kuendesha bicycle!
All I can say it’s a beautiful feeling!
Alafu wadhungu wajanja watakwambia ni aliens au UFO au dini, yote hiyo wanafanya ili kukuondoa kwenye focus!
Waganga wa kienyeji pia wanavyo lakini capacity ya knowledge yao iko limited!
Robert aliandika hicho kitabu fiction, kuhusu Titanic, baada ya miaka kadhaa ikatokea kweli!
Hii ni Power of your Thoughts!
Mdhungu atakudanganya ni Aliens ili uzidi kutuchanganya! Watu weusi ndiyo tumejaliwa sana na hii nguvu!