Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

MACHALII WA ARUSHA WAMJIA JUU JANJARO WADAI ANATAFUTA LAANA : . Hii ni baada Ya Janjaro kuvalia uhusika wa mwanamke katika Video Ya wimbo wake Mpyaaa WAYU WAYU ambayo officially imetoka usiku wa Jana... Hii Imekuwa gumzo kubwa na habari Ya mjini Kwa sasa...
 
Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa limemkabidhi Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania(TSNP), Abdul Nondo kwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai, jijini Dar - Jana Machi 9,2018 Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda aliwataka Polisi wa Mkoa wa Iringa kumpeleka Nondo Dar pale watakapomaliza kushughulika nae kwa kile alichosema ameuchafua mkoa wa Dar - Mnamo Machi 6, 2018 Abdul Nondo alidaiwa kupotea baada ya kutopatikana kwenye simu na kabla kutuma ujumbe kwa rafiki yake uliosema "I am at high risk" - Nondo alipatikana Mafinga Mkoani Iringa siku ya tarehe 7 Machi huku akidai hajui amefikaje mkoani humo
 
FAHAMU - Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam , Paul Makonda ametoa wito kwa wanawake waliotelekezwa na kuachwa na watoto kwenda ofisini kwake kuanzia Aprili 9 mwaka huu, ikiwa ni mwendelezo wa Mkuu huyo wa mkoa kutatua kero mbalimbali zinazowasumbua wakazi wa jiji la Dar es salaam.
 
Asante kwa ufafanuzi. Kuna profesa mmoja wa Anthropolojia mwanamke alieleza dhana nzima aliyowakilisha ISIS katika dhana nzima ya fertility na uumbaji kwa kina sana mpaka mambo ya DNA...Mwingine akazama kwenye Agano la Kale (Adam na Eva), masanduku ya agano (kumbe yalikuwa mawili), Musa, Akina Enock kupaa kwenye machariots yawakayo moto, Daniel, Kitabu cha Ufunuo...Dunia hii we acha tu !!!
 
Kwa mliosoma kitabu cha Walter Rodney (How Europe Underdeveloped Africa), hiki sasa kinaelezea mambo kwa uwazi zaidi. Afrika - mother of humanity, cradle of civilization, the wealthiest continet...and yet the poorest...Painful paradox....Who can stop the looting machine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…