Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Hahahaha hakuna mende bana,wewe unawaza mende tu je nyoka ataingia na kujificha bila kuonekanaChumba gani hiki mazagazaga kibao? Trust me hapo hapakosekani mamende hata ufanyeje.
Chumba changu ni very simple. Kitanda na meza moja kwishnei...