Hahahaha hakuna mende bana,wewe unawaza mende tu je nyoka ataingia na kujificha bila kuonekanaChumba gani hiki mazagazaga kibao? Trust me hapo hapakosekani mamende hata ufanyeje.
Chumba changu ni very simple. Kitanda na meza moja kwishnei...
Hivi ile ahadi sababu ni ipi hasa wajamenLikes nilishaahidi kila comment yako lazima niigonge sema tu sometimes nakuwa overwhelmed kwa sababu kuna wakati you real make it rain like post 50+/minute. Tuko pamoja binti mpole....
Sina shida na nyoka miye. Huyo ni mkubwa angalau waweza kumuona. Ishu ni mende. Na hayo mazagazaga hayo we subiri tu aliyejilaza hapo. Wataingia mpaka mdomoni muda si mrefu !!!Hahahaha hakuna mende bana,wewe unawaza mende tu je nyoka ataingia na kujificha bila kuonekana
Hivi ile ahadi sababu ni ipi hasa wajamen
We subiri tu akija. Mi simoooo !!!Andjul huyu [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️
Yegomasika huyoooo hahahaha
Hahahahah wewe peke ako ndo unayeogopa mende huku mende kimdudu cha kawaidaSina shida na nyoka miye. Huyo ni mkubwa angalau waweza kumuona. Ishu ni mende. Na hayo mazagazaga hayo we subiri tu aliyejilaza hapo. Wataingia mpaka mdomoni muda si mrefu !!!
HahahahhaKimenuka...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
hahahhaa ukaipiga na frem kabisaaaNilikwambia usiulize...ila siku moja utajua tu...
View attachment 710578
Kwani nyoka na funza siyo wadudu wa kawaida tu?Hahahaha
Hahahahah wewe peke ako ndo unayeogopa mende huku mende kimdudu cha kawaida
Nimeipeleka kwa Andjul ikafremiwe na kuwekwa sebuleni kwenye ile collection yetu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ha
hahahhaa ukaipiga na frem kabisaaa
Kijana wa kikoromije kila kimpendezacho machoni lazima kipambwe sebuleni..View attachment 710548 View attachment 710548 sebuleni kwa shimba,ya buyenze msafi sana tu yale mambo ya kunywea bia kwenye makochi hanaga
Hapo kajipumzisha kasahau ahadi ya kumwaga likes mia huyu mtu huyuuuu