Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ooooh!booooy[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Nilijua tu utamtaja andjul
We subiri tu akija. Mi simoooo !!!
Jamaniii!!![emoji134] [emoji134] [emoji134]
Na uzee wangu huu nianze kupamba ghetto?
Hizi shughuli zenu akina Yego wote ili mu-atrakti tu yego twa kike twenzenu...
Mna jijua makundi yenu..
Yego wa kiume:
1.Shimba
2.Cole
3.yegomasika

Yego wa kike:
1.Numbisa
2.carba
3.Jakitoo
4.Demiss

Vutianeni sasa kwa maana hatujui ya mbeleni nani atakuwa na nani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…