cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 29,011
- 79,226
Ahsante. Siku nyingi sijafika huku. Mzima weye?Wazima emmy karibu
Acha kuniharibia mkuu. Sijaoza ni kijana mbichi kabisaAmeoza
Kazi haziendi siunajua ka weekend kalikua karefu bado tuna kauvivuMbona wengi mpo free hivi leo?
Tunafanyaje sasaTuliza kichwa mkuu. Mchezo huu hautaki hasira ati [emoji23][emoji23][emoji23]
Sukuma uzi mkuuYap Yop
Sijambo mumy. Miss u..wazima dearie.... habari ya ww?
Kwa kweliJapo tupo kwenye ujenzi wa taifa
Naona malengo yako 60k unataka yatimie tenaMnakimbiza uzi jamani