mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Lakini suala la kitlya bado liko mahakamani we need proof kama money laundry case why wapo wawili tu kuna visasi nchi hii sanaMzee Kitillya. Namfahamu personally. Imagine kutoka kuwa mkurugenzi wa TRA kwenye pesa za kuchota tu na sasa kujisaidia kwenye ndoo. Tamaa ya ufisadi na kutajirika kupita kiasi masikini tena bila kujali wanyonge wasio hata na aspirin huko mahospitali. Inahuzunisha sana!