Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Maisha hubadilika!
7321ff8d241d99bf905a20404b83e750.jpg
Aiseee
 
Ila ukiona unawafahamu inagusa kiaina
Mzee Kitillya. Namfahamu personally. Imagine kutoka kuwa mkurugenzi wa TRA kwenye pesa za kuchota tu na sasa kujisaidia kwenye ndoo. Tamaa ya ufisadi na kutajirika kupita kiasi masikini tena bila kujali wanyonge wasio hata na aspirin huko mahospitali. Inahuzunisha sana!
 
Back
Top Bottom