Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mshua kabwagiwa [emoji23][emoji23][emoji23]
e270d7065ae3ab296ab79dbf7f4eab32.jpg
 
Watu wanakimbiza uzi kutoa likes hawataki saiv nampa anaenipa(likes)
Sijui kwa nini nimekumbusha mpaka nimechoka. Ngoja niendelee...[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
*************************

[emoji117][emoji117][emoji117]Wakuu, tuzingatie likes na siyo kukimbiza uzi tu. Posts huku nyuma hazina likes kabisa. Sanasana moja au mbili; na hii haikubaliki! Our motto is TOA LIKES POKEA LIKES. Tusijisahauuuu !!!
 
Wengi wanasema pengine ndiyo hasa lengo lake la kugombea urais. Kupiga hela za stocks, forex na mengineyo yenye kunufaisha makampuni yake. Binti yake amenyaka contracts za Wachina na Wakorea zenye mamilioni ya dola. Mwenyewe akisukuma tweet tu inaathiri stocks na Forex duniani. Imagine walio karibu naye wanavyoweza kupiga pesa. Halafu anawazuga Wamarekani kuwa eti hataki laki 4 zao za mshahara !
Mfanya biashara! Ana madeni ya kufa mtu na lazima ayalipe akiwa rais
 
Back
Top Bottom