Ha wa yuuni ndugu zangu... Kilio chenu cha kukosa like nimekisia. Nimeagiza like za kumwaga kwa kila mwana familia. Numbisa samahani, hivi umeni like?
KweliUkiona hupewi likes jua hutoi
Naimani kitakua kimetakata bila shakaSamahani sikuwepo humu kitendea kazi changu nilikifua baada ya likizo ndefu bila kufanyiwa usafi
Mbona mmekua wachoyo kutoa likes[emoji30]