Harrison k wako wanne tu kwao! Wanaume wawili, mmoja amefariki na wadada wawili....hao ndiyo tumbo moja!Ooh pole sana. Mdogo wake yule wa California aliyekuwa na gereji ya magari namfahamu vizuri. Alikuwa anaishi maisha ya kawaida tu mpaka Waswahili wakawa wanasema Ooh kakake Mkrugenzinwa TRA si amchotee mdogo wake naye kidogo? We acha tu.
OkHere we go.... Narudi nyuuuuma kubofya kitufe cha like
Toa likesKwani sh ngapi like just one touch
pamoja sanaMyoyambendi
Indeed! Sio mimi bali ni maji yenyewe yananipendaYou love swimming najua hilo
Wakibana na wewe wabanie tuukibana nasepa
Sikuwa na maana hiyo [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji108] [emoji108]Naimani kitakua kimetakata bila shaka
Nipo hapacarbamazepine