nimekupaaaa sema hakuna namna ya kutoa likes zaidi ya moja ningekupaaa..., yote yakoUsinifanyie roh mbay
Kula like kuuHuu uzi ulivyoanza nilidhani utani kumbe watu wako serious
Dah Yaani wazo tu lilikuja nilikuwa natafuta kitu kitakachotuunganisha members wote bila kujali umri,dini,kabila,itikadi wala tofauti yoyote. Nikaona like ndo kitu kitakachotufanya tuwe kitu kimoja na tunaenjoy wote. So mkuu tuendeeleni kupeana likes na stori za hapa na paleMkuu na wewe sikuii uliwaza wapi. Umeokota dodo.......
TFDA ni jipu la miaka na miaka, tumelishwa poison za kila aina wenyewe wanacheka tuwali wa plastic bado TFDA hawajatumbuliwa kwa kuchezea afya za wabongo a.k.a wa tz
lol jf raha sana nalala kwa amani sasaAisee raha kama kugawana makinikia
[emoji35] [emoji35] unaushahidi wakumpa mdingi kithibitisha hilooo, nakutoka usiku kwenda club nitasemaaaMbona wewe Galapagosi anakukamatiaga mi nimekausha na cha ajabu hujamtambulisha home..au nikuchomeshee kwa mshua??
Acha waufutilie mbali turudi kwenye mijadala yenye akiliNawasihi mods kesho tuukute uzi huu pleeeez
bado sukari feki nayo itakuja...TFDA ni jipu la miaka na miaka, tumelishwa poison za kila aina wenyewe wanacheka tu
Kugonganisha likes tuNi kugongana tuu...
Hanna ntu aliye lalaHatimae mmelala
NjooNitarud baad ya lisaa limoj
Kama kawaida kichwa kichafu hakijawahi muacha mtu salama kwenye LIKE.Ww umetia [emoji23][emoji16][emoji16][emoji16]
Hatulali tunagonga likiHanna ntu aliye lala