Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mkuu na wewe sikuii uliwaza wapi. Umeokota dodo.......
Dah Yaani wazo tu lilikuja nilikuwa natafuta kitu kitakachotuunganisha members wote bila kujali umri,dini,kabila,itikadi wala tofauti yoyote. Nikaona like ndo kitu kitakachotufanya tuwe kitu kimoja na tunaenjoy wote. So mkuu tuendeeleni kupeana likes na stori za hapa na pale
 
Back
Top Bottom