GIUSEPPE
JF-Expert Member
- Dec 31, 2011
- 5,239
- 6,242
alah kumbe ni stive,? ngoja niondoe hiyo picha maana jamaa anavisasi kama nini.Kumbe Steve Nyerere ni mfupi hivi[emoji102] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
alah kumbe ni stive,? ngoja niondoe hiyo picha maana jamaa anavisasi kama nini.Kumbe Steve Nyerere ni mfupi hivi[emoji102] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Naona umejiandaa kweli
Mtoto ake wemaHuyo aloeongozana na wema ni mtoto au mtu mzima?
jamaa kawa mdogoooooooooooooWema kambeba mgonjwa anampeleka hospital. Anaemjua huyomgonjwa atuambie ni nani.
![]()
Pata like na weweMkuu kula likes [emoji106] [emoji106] maana kwa huo wizi na ucommedy wa tabrez mirza(TMK) hatar
[emoji102] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]alah kumbe ni stive,? ngoja niondoe hiyo picha maana jamaa anavisasi kama nini.
Aiseeh,si nilisikia huyu dada mayai kakaangia chips??(jokes)Mtoto ake wema
sasa hapo kavaa nguo je akiwa empty anakuwaje? anaweza hata toshea kwa karai ya kuoshea watoto, au anaweza hata ogelea kwa sink ya kuoshea vyombo jikoni.jamaa kawa mdogooooooooooooo
[emoji102]Mtoto ake wema
Hizi mbio zako za leo kama harmorapa[emoji102] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Jamaniii[emoji23] [emoji23]sasa hapo kavaa nguo je akiwa empty anakuwaje? anaweza hata toshea kwa karai ya kuoshea watoto, au anaweza hata ogelea kwa sink ya kuoshea vyombo jikoni.
Me kila siku napashaga humu humu [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Hizi mbio zako za leo kama harmorapa
AiseehMe kila siku napashaga humu humu [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Kuna traffic police... Leo[emoji102]Kumekuchaaaaaa
Taa zikinipa green eeeeh
Eeeh mkuu[emoji102] [emoji125] [emoji125]Aiseeh