Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kupitia hekima na maisha na mafanikio, inatuonya na kutukumbusha ya kwamba, ni muhimu kutambua sana thamani ya vile vitu tulivyonavyo. Haijalishi ni kazi au kitu gani. Lakini ukishajua thamani ya ulichonacho na ukakitunza kwa ufasaha hiyo itakusaidia hata kuweza kupata na vitu vingine. Jua thamani ya ulichonacho na ikutunze.
 
Kama unatumia pesa zako kwa mambo ya hovyo hovyo basi hata kama kipato chako ni kikubwa kiasi gani, pesa hizo utakuwa unazipoteza tu bure na hakuna unachofaidi.
Wakati wote unatakiwa kuzingatia ni kwa namna gani unafanya matumizi yako kwa ubora, ikiwa unafanya matumizi yako kwa ubora utajiweka kwenye wakati bora pia.
 
Watu wengi wanajikuta wameishia na hawana kitu kwa sababu ya kufanya matumizi yasiyo ya msingi, bali wanafanya matumizi ya kuwabomoa.
Kila wakati chunga matumizi yako na hakikisha unajua pesa zako zinakwenda wapi kila siku iitwapo leo.

Kutumia zako hovyo, huko ni kujitakia majanga yaw ewe kuweza kuishia kwa baade. Tumia pesa zako kwa busara nazo pia zitakulinda.
 
Can't wait[emoji30][emoji30][emoji30]
giphy.gif
 
Back
Top Bottom