Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Alichoongea hapo wala siyo Kikoromije. Nadhani ni Kikurya. Muulize vizuri...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
SHIMBA YA BUYENZE
Kwema?
Alichoongea hapo wala siyo Kikoromije. Nadhani ni Kikurya. Muulize vizuri...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
SHIMBA YA BUYENZE
Please, bakia kwenye salamu. Japo na zenyewe zinakupiga chenga ila angalau kuna kaunafuu. Sasa ulichoongea hapo juu ndo nini sasa. Kikurya ama? Bageshiiiii !!!Najikosha kosha hapa ili ya buyenze aache kusema najua salamu tu hahaha
Hakuna Kikoromije hapo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Numbisa naona umeamua kuweka na kikoromije hapo
Pole ya wewe kunitelekeza jana baada ya kukubaliana tuondoke wote[emoji23][emoji23][emoji23]Kale kanyoka kamekuuma evenchuale ama? Unapewa pole ya nini?
@andjul mzee baba naona leo ni nyakyusa's day[emoji23][emoji23][emoji23]Mnyakyusa akianza kutajirika [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️
View attachment 712602
Nilisubiri wee hakuna kitu. Ndo maana nikadhani pengine kale kasineki kamefanya yake. Kwema lakini?Pole ya wewe kunitelekeza jana baada ya kukubaliana tuondoke wote[emoji23][emoji23][emoji23]
Ulisubiri wapi?Nilisubiri wee hakuna kitu. Ndo maana nikadhani pengine kale kasineki kamefanya yake. Kwema lakini?