Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hilo ni tatizo kubwa alilonalo huyo Mheshimiwa. Yaani yeye hajihesabu kama ni mweusi, kiboko yake ambaye huwa anampatia ni Charles Barkley. Jamaa huwa hamkopeshi, si unaona hata wale call girls wake wote ni blonde! [emoji23][emoji23]
Hahangaiki na weusi kamwe. Ndiyo maana hata katika makasheshe yake hayo hakuwa na mtetezi. Bilionea lakini maisha ya misukosuko kweli tena bila familia ya kueleweka. Halafu hao ma- call girls wengine walikuwa choka mbaya kweli kweli...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…