Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Niko barida bibie.

We Si ulikuwa mstari Wa mbele kuniita tapeli sasa nimetengeneza figisu zimekurudia wewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] hadi uje uniite niwe wakili
Eti nikuite wakili,thubutuuu
Bora nimtafute mambembe[emoji23][emoji23][emoji23]

Leo itabidi nije maana ile kesi nimesingiziwa kabisa.
 
leo Manchester United dhidi ya Sevilla, sare yeyote ya magoli inamuomdoa Man Utd kwenye Mashindano, Sevilla pia ana rekodi mbaya kwa timu za Uingereza vipi leo wataweza kuvunja mwiko huo? Upande wa Man Utd amepoteza mchezo mmoja kati ya Tisa dhidi ya timu za Spain katika hatua hii. Nani atamchomoa mwenzie kwenye safari hii ya kuelekea Robo fainali ya Ligi ya mabingwa?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…