carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Kijana mpole[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] mmmh
Kijana mpole[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] mmmh
Poa kipenzi za wewe?Hata Mimi namtafuta[emoji23]
Mambo kipenzi.
Binti mkorofi wa chinichiniKijana mpole
Huko instanumbisa unazitoa wapi hizi..ha ha ha kwema lakini
Sasa asipoweka status mtajuaje kama kavaa nguo mpya[emoji23][emoji23]Kuna application za kudownload status za watsup. Kuna watu wachoyo jaman anaweka video nzuri ila kushare na wenzake hataki ila sasa wewe weka nzuri dakika mbili anayo(kaaiba kwwko kwa kuidownload)
Mtu akvaa nguo mpya baasi siku hio zitamwagwa status 20 kidogo hahahaha
Napenda grups balaa ila saiv nina grup mbili tu active
Watu siyo wazur kabisaa hasa pale unapowafungia viooo piemu lazimaaa wakufurahisheeee utapata majina yoteeeeeHapana chezea jf wewe.
Mimi??Binti mkorofi wa chinichini
Hahahahah hapo sasaSasa asipoweka status mtajuaje kama kavaa nguo mpya[emoji23][emoji23]
Dunia ina mambo