Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Ndohotabunini kinaendelea humu?
Ndohotabu
1:hivi unaibaje status ya mtu?KERO ZA WhatsApp,,, 1. Kuibiana Status na Dp 2. Mtu humjui anakulazimisha umtumie Picha zako (utadhan na yeye yumo kwenye picha) 3. Kufatiliana yan umeweka Dp mtu anakuja from no where eti ""Dp yako cjaipenda" Kafe Mbele hukoooo 4. Kuwekwa kwenye group humjui hata mtu mmoja hata Admin humjui 5. Status za vijembe, yan mtu kaweka status ukiisoma unajua ni wewe unasemwa 6. Unamuona mtu online na hajib texts zako, Asante Mark katuletea blue ticks 7. Unaomba picha moja unatumiwa 10 kwa mpgohapa nashindwa kuelewa ina maana ukiomba 2 unatumiwa 20 8. Mtu humjui anakutext ila anataka wewe ndo uanze utambulisho,,,,, nyoo umekuwa mwandsh wa habar wewe 9. Unachat na mtu Dakika 5 tu unashangaa amesha snap shot conversation kaweka kama Dp, shenziiiiiii zako 10. Mpo 20 kwenye group ila week inapita hakuna salamu wala ushuziii, mnauza sura au na nyie muonekane mna group lenu BONUS,,,,,, 11. Mtu yupo kwenye group toka January hadi leo hii hajawah changia hata salamu na yupo online kila cku, hiv texts hazikusumbui???? Daaa ipi kero kwako kupitia Whatsapp
mambo dada[emoji23][emoji23][emoji23]jamaa/bidada ni chizi huyu
Watu wameshafukunyua makaburi[emoji23][emoji23][emoji23]jamaa/bidada ni chizi huyu
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] mmmh1:hivi unaibaje status ya mtu?
2:hiyo namba 4 hiyo[emoji23][emoji23],sipend groups sijui kwanini.
Nimeshajitoa groups zote.
3:hiyo namba 5 mambo ya uswahilini hayo[emoji23][emoji23]
4:hizo blue ticks hata hazisaidii,mtu akiamua kutokukujibu hata ufanye nini hakujibu
Ila whatsapp kuna visa[emoji23][emoji23][emoji23]
Cc:SYB[emoji125] [emoji125] [emoji125]Koromije boy passport sizeView attachment 713115
numbisa unazitoa wapi hizi..ha ha ha kwema lakini
Poa kakamambo dada
Hata Mimi namtafuta[emoji23]Kichwa Kichafu popote ulipo ujue nakutafuta.
Huwezi niuzia kesi mimi
Hapana chezea jf wewe.Watu wameshafukunyua makaburi
Kuna application za kudownload status za watsup. Kuna watu wachoyo jaman anaweka video nzuri ila kushare na wenzake hataki ila sasa wewe weka nzuri dakika mbili anayo(kaaiba kwwko kwa kuidownload)1:hivi unaibaje status ya mtu?
2:hiyo namba 4 hiyo[emoji23][emoji23],sipend groups sijui kwanini.
Nimeshajitoa groups zote.
3:hiyo namba 5 mambo ya uswahilini hayo[emoji23][emoji23]
4:hizo blue ticks hata hazisaidii,mtu akiamua kutokukujibu hata ufanye nini hakujibu
Ila whatsapp kuna visa[emoji23][emoji23][emoji23]