safiNazingatia hii kanuni siku hizi. Mkojo mweupeee...Asante daktari [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Karibu sana. Ila bi keafu. Liinjini leo limewaka moto balaa...Utaungua...Afadhali tu usije...Naomba nije kukubembeleza ulale[emoji41][emoji41]
Holi spiriti anawakonvikti....Hahahahaha
Hahaha poleeKaboom! Just like that robo tatu ya vinywaji vyangu imeyoyoma...
Na kwako pia mkuuAsubuhi njema WAKUU
Totally gr8Habari za asbh Tanzania
Kula tu kila mtu na bahati yakeBasically hakuna kula cho chote...
totally gr8Habari za asbh Watanzania
Asante mremboNa kwako pia mkuu
Mola ni mwaminifu sana kwanguHope wote mmeaka salama