carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Watu wanalipuka tu siku hizi[emoji23][emoji23][emoji23]Jirani ana mtwangio unaoenea mkononi. Wenye vinu kaeni chonjo. Na inavyoonekana anatwanga na kukoboa kabisa. Shauri yenu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]