Asante mi zaidiMe too babe.
Karibu tena
Nafurahi kukuona
Hahahahah nzuri...Nipo vizuri, habari ya Ugweno?
Safi mkuu, kwema? Hauja nipa ratibaHahahahaha mkuu niaje
Kuna jamaa anaitwa chaliifransiko alimjibu vizuri sana nilicheka mpka basiKazi ipo. Watu wamechoka kuambiwa ni wasted sperm?
Rudiiiii...Ohoooooo!![emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Jirani ana mtwangio unaoenea mkononi. Wenye vinu kaeni chonjo. Na inavyoonekana anatwanga na kukoboa kabisa. Shauri yenu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Akiii nimechekaaa...
"Nyuraa" alitoa mkwara mzito wa "ukienda usirudi"
"Mkuu" ikambidi abaki maana "jirani" alikuwa motoooo[emoji23][emoji23][emoji23]
Shemejiiiiiii
Anasonya eti[emoji23][emoji23]
It will depend
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Karibu mamaanguHahahahah nzuri...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Ben tenaBen10 upo vizuri
Summary nzuri sana ya kilichokuwa kinaendelea jana. Bila shaka kwenye kile kipengele cha ufupisho kwenye lugha ulikuwa unagonga A...Safi sana..."Nyuraa" aliaga kwenda kulala...
Jirani wa mtu akachombezwa na "mtwangio na kinu" na "Nyuraa"
Jirani wa mtu akakazia "mtwangio sijui uenee kwenye mkono na kinu sijui kiweje?!!! Yaani mnato"...
Shemeji kipenzi akagoma kwenda aliko hitajika...
Kulinda " Nyuraa" maana jarani wa mtu hana maana siku hizi...
[emoji124] [emoji124] [emoji124] majina ya nini? Kwani nataka kusutwa kwa umri huu nilio nao???
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] niende front halafu my Queen nimuachie naniHahahahah
Nzuri mkuu habari za masikuHabari za jioni wanauzi
Ben10 mpya mkomavu yule. Ye ni Forex tu, kuaga na kusalimia nchi nzima hata kama kanuniwa ila baadaye anarudi na kurekebisha mambo. Yuko vizuri !!!Ndugu yako babe S ana pitia magumu,tushirikiane kumuonea huruma,hivi vitoto vya shule ni visumbufu sana.
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] Sijui ISIS yatakayo mkuta baada ya kum-Ben10-nisha mzee wa liver
HahahaahahaaaaSummary nzuri sana ya kilichokuwa kinaendelea jana. Bila shaka kwenye kile kipengele cha ufupisho kwenye lugha ulikuwa unagonga A...Safi sana...
==> Jirani aliamua kujitangaza kuwa ana mchi unaoenea mkononi. Na reaction ya watwangwaji haikudisapointi kwa kweli...Atawapangaaaa [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️
Sema kamanda. Upumbavu upi? Tuziweke hasira zetu mpaka 26 April mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]Huu upumbavu peleka facebook.