Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

tapatalk_1519794257624.jpeg
 
Ben10 mpya mkomavu yule. Ye ni Forex tu, kuaga na kusalimia nchi nzima hata kama kanuniwa ila baadaye anarudi na kurekebisha mambo. Yuko vizuri !!!
Niliona jana... Aiseee!!!!

Mzee wa liver alipigwa na "nimekununia" kama nne hivi...KIMYAAA.

Mzee baba ukamshitua...KIMYAA.

Numbisa akahamaki 'Masaki kimenuka"...KIMYAA.

ISIS akaamua kum-ben10 (kaben10 liver) bado ikawa...KIMYAA

ISIS aka withidroo "mnuno"... KIMYAA

Nashangaa asubuhi nakutana na AMUN RA... Amun ra[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

[emoji124] [emoji124] [emoji124] nikachoka mie...
Malengo yamefutika hivi hivi...
 
Back
Top Bottom