mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Mkuu bado nipo huku waja Leo waondoka Leo kesho nitakuwa na jibuSafi mkuu, kwema? Hauja nipa ratiba
Mkuu bado nipo huku waja Leo waondoka Leo kesho nitakuwa na jibuSafi mkuu, kwema? Hauja nipa ratiba
Comment zako lazima mtu ucheke tu kwa sababu hakuna namna. Mambo yeshaisha naona kwa sababu ni Amun Ra kwa kwenda mbele. Raha sana watu mkielewana yaani...Niliona jana... Aiseee!!!!
Mzee wa liver alipigwa na "nimekununia" kama nne hivi...KIMYAAA.
Mzee baba ukamshitua...KIMYAA.
Numbisa akahamaki 'Masaki kimenuka"...KIMYAA.
ISIS akaamua kum-ben10 (kaben10 liver) bado ikawa...KIMYAA
ISIS aka withidroo "mnuno"... KIMYAA
Nashangaa asubuhi nakutana na AMUN RA... Amun ra[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji124] [emoji124] [emoji124] nikachoka mie...
Malengo yamefutika hivi hivi...
Sote ni wokosaji, lazima turudi kwake kumuomba msamahaSote tu wenye dhambi mkuu na bila rehema zake kila kitu ni bure. Tumuombe bila kukoma na kama unapita katika misukosuko jua tu kuwa hatakuacha maadamu umemlilia hivi !!!
Hii iingie kwenye Guinness world records jamani. Numbisa huyu mkali rolo modo wangu kweli anatokoteshwa injini na simba mwenda pole asiye na maneno mengi? Vere sapuraizingi...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Myoya katia fola...ameweza kumuimbisha hadi Numbisa!!!
Good nightGood night friends
Trump vs. Kiduku?Hii battle haijawahi kutokea tena
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hii iingie kwenye Guinness world records jamani. Numbisa huyu mkali rolo modo wangu kweli anatokoteshwa injini na simba mwenda pole asiye na maneno mengi? Vere sapuraizingi...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakika aisee...Hii iingie kwenye Guinness world records jamani. Numbisa huyu mkali rolo modo wangu kweli anatokoteshwa injini na simba mwenda pole asiye na maneno mengi? Vere sapuraizingi...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja nitakutafuta. Wikiendi ya wiki hii tegemea kunisikia laivu. Na nikitaka kuongea na dadangu usinichunie. Ila naye hajui Kikoromije aaaaargh !!!Hakika aisee...
Kijana nilikuomba tuwasiliane,bado umetingwa?