Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mmeunganisha nguvu naona. Mshindwe na mlegee. Hapa niko natafuta picha ya tandu...[emoji23][emoji23][emoji23]. Wewe ongea kwanza na huyu anaconda [emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️

Sijui ukoje[emoji24][emoji24][emoji24]
Hapa nilipo kuna kajoka hapo nje tangu juzi kanapiga doria naogopa hata kupita na ni lazima nipite.

Ila acha tu tupambane maana haina namna[emoji23][emoji23]
unnamed%20(7).gif
 
Back
Top Bottom