Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Naogopa na sipendi mende sana sasa imekuwa noma yaani natafutiwa wale wanaojongea kabisa. Jizazi !!!Hahahahahahaha kisa tu mwana wa Koromije
Ingekuwa 15% ingependeza zaidi...
Naogopa na sipendi mende sana sasa imekuwa noma yaani natafutiwa wale wanaojongea kabisa. Jizazi !!!
Mende wachafu sana mkuu. Halafu mengine makubwa halafu yanaruka kabisa...Aisee sipendi mende, panya, nzi na mbu.
Mende wachafu sana mkuu. Halafu mengine makubwa halafu yanaruka kabisa...
Naenda kuiona leo hii ili nione what the fuss is all about....'Black Panther' Hits $1 Billion Mark In Worldwide Box Office Numbers
'Black Panther' Hits $1 Billion Mark In Worldwide Box Office Numbers
WaGhana nao wako vizuri katika kulinda na kudumisha utamaduni wao. Safi sana !!!
Hivi shemeji unanini lakini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jamaniii!!![emoji134] [emoji134] [emoji134]
Na uzee wangu huu nianze kupamba ghetto?
Hizi shughuli zenu akina Yego wote ili mu-atrakti tu yego twa kike twenzenu...
Mna jijua makundi yenu..
Yego wa kiume:
1.Shimba
2.Cole
3.yegomasika
Yego wa kike:
1.Numbisa
2.carba
3.Jakitoo
4.Demiss
Vutianeni sasa kwa maana hatujui ya mbeleni nani atakuwa na nani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
'Black Panther' Hits $1 Billion Mark In Worldwide Box Office Numbers!