Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Jamaniii [emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️
**********************************
Vitu ambavyo wanaume huwa tunajidanganya n ile kusema eti "Nikimpa mimba atatulia"My friend hawa watu kutulia ni ngumu hadi uwavunje miguu tu!‍♀‍♀[emoji57][emoji57]
 
Kama hujawahi lala njaa after sister yako kutumwa kusaga na badala ya kuleta unga akaenda akatoroshwa pamoja na unga hakuna shida unajua*[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umenikumbisha zamani saaana kijijini kwetu.
Mama mdogo alitumwa mashineni kusaga unga,ilikuwa mchana kipindi cha masika.
Hadi inafika usiku kipindi cha igizo la jangala redioni akawa hajarudi,kumbe mhuni kakaba njiani kaenda nae geto. Tulikula viazi vya kuchoma,shuani zake baba mdogo...

Kesho yake wakaja na noti ya sh.20 kujitambulisha na kurudisha unga
 
Back
Top Bottom