Miguu tu yanitosha
Kazi ipo. Watu wamechoka kuambiwa ni wasted sperm?
Gud answer...!!!
Muungwana, mzee wa mashairi, mzee sound. Upo mkuuKijana wa kikoromije kila kimpendezacho machoni lazima kipambwe sebuleni..
[emoji124] [emoji124] [emoji124]naiona picha ya MENDE kwa mbaaalii
[emoji3] [emoji3] [emoji3] wapi SalahNjema aisee tupo na rashford
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Jamaniii!!![emoji134] [emoji134] [emoji134]
Na uzee wangu huu nianze kupamba ghetto?
Hizi shughuli zenu akina Yego wote ili mu-atrakti tu yego twa kike twenzenu...
Mna jijua makundi yenu..
Yego wa kiume:
1.Shimba
2.Cole
3.yegomasika
Yego wa kike:
1.Numbisa
2.carba
3.Jakitoo
4.Demiss
Vutianeni sasa kwa maana hatujui ya mbeleni nani atakuwa na nani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
AMURAGr8 kwa kweli
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] ndoa gani tena iliyovuniwa?Na mimi muhenga mwenzio leo unanitia kwenye uYego. Zisi izi noti fea hasa ukizingatia kuwa nawe una kashfa ya kuvunja ndoa ya Yego mmoja hapo !!!
Jamani jamani jamaniii [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]Mnyakyusa akianza kutajirika [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️
View attachment 712602
Naona teacher leo tumehamia kwenye soccer[emoji41]Hali yake [Cech] imeonesha jinsi mchezo wa soka ulivyo, wiki moja ametoka jehanamu na kwenda paradiso.
"Rekodi kama hiyo inahitaji kujitolea sana na ujuzi wa hali ya juu kwa sababu hauwezi kukaa muda mrefu hivyo katika mchezo huu iwapo hauna ujuzi na ustadi."
Haki ya Mola wangu@andjul mzee baba naona leo ni nyakyusa's day[emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu unapoquote toa likesNaona teacher leo tumehamia kwenye soccer[emoji41]
Watu wamejichokea na tabia yake.Kazi ipo. Watu wamechoka kuambiwa ni wasted sperm?