kiasi chake,uwepo wa madini ya kalsimu ,fusfori,aina ya asidi ya yurik,magnesia,chumvi na aina ya protini ya kreatinini.
Vipimo vya damu: vipimo vya msingi kama vile vya chembechembe za damu, kreatinini, sukari na kutambua kemikali ambazo husababisha mawe kama vile kalsiamu,fosfori na asidi.Aidha kuna maabara zinazoweza kupima kiasi cha hormone ya parathyroid.