Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

leo Manchester United dhidi ya Sevilla, sare yeyote ya magoli inamuomdoa Man Utd kwenye Mashindano, Sevilla pia ana rekodi mbaya kwa timu za Uingereza vipi leo wataweza kuvunja mwiko huo? Upande wa Man Utd amepoteza mchezo mmoja kati ya Tisa dhidi ya timu za Spain katika hatua hii. Nani atamchomoa mwenzie kwenye safari hii ya kuelekea Robo fainali ya Ligi ya mabingwa?.
 
3FB2C431-78A3-4288-8F89-4145E084630C.jpeg
 
Back
Top Bottom