True
Be at peace with your soul!
Muhimu sana hii maana mara nyingine sisi wafanya biashara akili inazunguka kama radar!
Kweli kabisa kama alivyosema Yesu Kristo: siku ya leo yatosha na tuwe na Amani moyoni, tungoje kesho kwa rehema na fadhili za Mola Rabuka!