Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Siku hizi umebadilika sis. Angalau unatuonjesha maarifa yako mengi. I wish ungekuwa unafunguka zaidi. Binafsi huwa najaribu jaribu sana kukudodosa. Wakati mwingine naishia kutokuwa kwenye one page nawe. Tofauti na zamani siku hizi wala hunitupi kwenye ignore list bali "unanigombesha" kiaina..."I thought we were on the same page. Kazi kweli kweli wallahi..." You are an interesting and a very unique person na kukuelewa unachomaanisha sometimes ni ngumu kweli kweli hasa unaporusha zile picha zako zenye ujumbe uliofichama. Endelea kunivumilia !!!
 
people are allowed to leave you.

people are allowed to break up with you.

people are allowed to love you but not want to be with you.

people are allowed to not want to talk to you.

people are allowed to put their happiness before yours and do what makes them happy even if it does not include you.

people are allowed to move on from you.

people are allowed to fall in love with someone else.

people are allowed to not want you in their life.

people are allowed to do whatever they want to better themselves and become the version of themselves they are trying so hard to love.

don’t be bitter towards someone who is only trying to be happy.
 
Hahahaha
Asante sana my dear, tuko pamoja daima!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…