Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Jizazi...Mpaka samaki wangu na vile vidole vimeingia kwenye singo. Safi sanaaaaa..!!!
 
Leo una nini wewe? Si kwa kucheka huku jamani!!!
 
Shimba wamerekani wanaongeleaje kufukuzwa Kazi kwa Waziri wa mambo ya kigeni
Kuna uzi hapa umewekwa na US Baby upitie una maoni ya wadau mbalimbali. Wengi nadhani hawafuatilii sana hizi ishu na kufukuzwa na Trump ni jambo la kawaida tu. Huyu bilionea tangu amuite Trump Moron nadhani walikuwa hawaelewani. Hakuwa na uzoefu wo wote na haya mambo ya kidiplomasia na wengi wanaamini kuwa alipewa nafasi hii kutokana na urafiki wake na Putin...

Breaking News: - Trump amfukuza kazi Waziri wa mambo ya nje Rex Tillerson, amteua Mike Pompeo kuchukua nafasi yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…