Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Party two
Nimekununia
Msimuite mzee asije kua mzee kweli
Viandaetin hivi havijui lugha za kwao
Mama enu yupo karibu hapa leo ni mwendo wa biblia tu(nimeimiss ile suruali ya kitambaa)
Nimeweka tu samaki tuwili kwenye oven tutajijua humo humo(ayaaaa vile vidole vikasingiziwa vya muuza samaki)
Kutiki nae akaanza dai mahari kushtuka anashushuliwa mahari kwa dada yupi wakati hata hawana undugu wa kubumba achia mbali kabila moja
Wimbo wa mahari mahari ukakatwa na mzee wenga
Mara paaap sio mzee bali ben10