andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ongezea na "Nimekununia"...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ongezea na "Nimekununia"...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hawa vijana hawana plan kabisa.Yego. Wote wale wale tu. Wakitingishwa kidogo tu haoo mbio. KaYego masikini mpaka nakahurumia samutaimu. Kanakurupuka kanajimwagia miredi waini everewhea na kinachokimbiwa ukiangalia hukioni. Waongee na Andjul wapate ushauri vinginevyo wataendelea kuteseka tu. It hurts !!!
Apatikane mtu aiwekee biti tuitoe kama singo tupige hela. KaYego kanaweza kurapu...Bonge la rimiksi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Akiweka "nimekununia" Aongeze na amun raOngezea na "Nimekununia"...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Apatikane mtu aiwekee biti tuitoe kama singo tupige hela. KaYego kanaweza kurapu...
Impossible mission jaman keshafika mbali hahahaNaomba mrudishe mkoromije wa zamani pulizii[emoji23][emoji23]
Impossible mission jaman keshafika mbali hahahaNaomba mrudishe mkoromije wa zamani pulizii[emoji23][emoji23]
Hahahah jamanHata mwelekeo hayana. Hooooovyoooo !!!
HahahahaahMi pia nilimwambia ..."Think !!!"...
Ni jioni usiku unaingia. Mvua zinanyesha. Kuna kibaridi cha aina yake. Binti anakwambia njoo basi twende shamba tukalime. Na wewe badala ya kujiongeza eti unakazana kuuliza, "tukalime kilimo gani wakati usiku unaingia?" Jizazi !!!
Ni wale wale uliosema siku moja kuwa hata ukimwambia "njoo unirenge" bado hawaelewi. Halafu baada ya muda unaona parabozi. Ajabu kabisa !!!
Hahahaha safar hii nahama nchi. Anonymous forever hahaRolo modo wangu. Nitajaribu tena kukutafuta nikifika Mwanza. Safari hii angalau tu nipate Mpesa yako nikurushie shukrani. Makonfidensi balaa yaani hapa nilipo I feel like Archimedes..."I can move the world"...
Mkoromije wa watu alikuwa mpole,si huyu wa siku hizi[emoji23][emoji23][emoji23]kavurugwa mbayaImpossible mission jaman keshafika mbali hahaha
Hahaha uzi murua huuNumby umeanza kuchizi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]