Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Dress[emoji7][emoji7]
Classic
Brother hebu tupia Zaburi 72 kwa kiswahili!
You have read my mind!
Jirani anahubiri kila siku hapa kuwa Ukarimu haufilisi. Tuzingatie mahubiri please [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️Kumpa asiyekupa sawa na kutupa
Kumpa asiyekupa sawa na kutupa
Unamjua huyu mtoto? Ana mtindio wa ubongo ama? Niliona kwingine wanasema eti alikuwa anashindana kwenye shindano la mtu mwenye sura mbaya na aliibuka mshindi wa pili. Mitandao hii dah !!!I know inasikitisha tu maana sura yake sio nzuri kama huyo mwingine!
Hahahaha huwa naiona hata kwenye magroup ya what’s up! Anyway usitie shaka iko kila mahali!
Remain blessed brother!
Kameacha mvinyo mwekundu na viatu vya mchuchumio...Ninazo kama hizo hapa kwenye closet yangu, naziuza! Kama unazitaka njoo hapa Nansio uchukue; tena BURE kabisa kwako! [emoji1][emoji1][emoji1550][emoji1550]
Nimeshaiweka. Natumia simu na imenilazimu kuikata vipande vitatu...Brother hebu tupia Zaburi 72 kwa kiswahili!
Asante sana
Tayari. Nimeanza mwanzo nikashuka nayo pole pole. Ziko sehemu tatu. Nikiweza kuiweka yote nitaiweka...You have read my mind!
Ianze mwanzo basi ndugu yangu!
Jirani sijamuona hapa Leo na mistari yakeJirani anahubiri kila siku hapa kuwa Ukarimu haufilisi. Tuzingatie mahubiri please [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
Hahahaha haki ya Mola wangu walahiUnamjua huyu mtoto? Ana mtindio wa ubongo ama? Niliona kwingine wanasema eti alikuwa anashindana kwenye shindano la mtu mwenye sura mbaya na aliibuka mshindi wa pili. Mitandao hii dah !!!
Asante kwa kunitoa wasiwasi...
Ngoja nikagugo narudi kakaeeDadake, unajua sisi wengine hapa akili yetu ni nyembaba, haijajua methali. Hapa ulikuwa unaanisha nini? [emoji23][emoji23]
PyeeeeeppBuzitata halichunwi hata kwa limbwata la kitanga
Hahahahahha pye pyee pyeeeeeeeeePyeeeeepp
Awesome!