Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kumpa asiyekupa sawa na kutupa
Jirani anahubiri kila siku hapa kuwa Ukarimu haufilisi. Tuzingatie mahubiri please [emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
 
I know inasikitisha tu maana sura yake sio nzuri kama huyo mwingine!
Hahahaha huwa naiona hata kwenye magroup ya what’s up! Anyway usitie shaka iko kila mahali!
Remain blessed brother!
Unamjua huyu mtoto? Ana mtindio wa ubongo ama? Niliona kwingine wanasema eti alikuwa anashindana kwenye shindano la mtu mwenye sura mbaya na aliibuka mshindi wa pili. Mitandao hii dah !!!

Asante kwa kunitoa wasiwasi...
 
Ninazo kama hizo hapa kwenye closet yangu, naziuza! Kama unazitaka njoo hapa Nansio uchukue; tena BURE kabisa kwako! [emoji1][emoji1][emoji1550][emoji1550]
Kameacha mvinyo mwekundu na viatu vya mchuchumio...

Kamehamia kwenye magauni ya bluu iliyokolea...

Kazi kweli kweli !!!

Kwema mkuu?
 
Jirani sijamuona hapa Leo na mistari yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…